Flora Charles mgonja , namtafuta Mwanaidi Abdi mkwizu.


Tulisoma wote s/m chambogho iliyoko Tanga lushoto mwaka 1989 nakumbuka mara yamwisho mliondoka na mama yenu kuelekea moshi Kilimanjaro ,mliondoka Wewe Athumani Na mamzimbii nyie niwatoto wamjomba wangu anayeitwa abdi mkowapi nawatafuta ?


Mimi ni Flora Charles mgonja , namtafuta Mwanaidi Abdi mkwizu.


Mawasiliano

Jina: Flora Charles mgonja .

0763988287
.

Moshi Kilimanjaro himo.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


UJUMBE-MSAMAHA-35JHF32.JPG