ephraim ibrahimu, namtafuta tatu omary from songea bomba mbili.


miaka ya 2000 nimeish songea nikiwa na wazaz wangu mtaa bomba mbili kwenye nyumba ya mzee omary au baba kessy, mzee huyu alikuwa na mabint zake tatu, na hawa na vijana issa na kassim, na walinifaham kwa jina la zawad kipind hicho so namtafuta tatu aliyesoma shule ya majengo songea dada yake hawa alikuwa akisoma la saba yeye la tatu, ktk nyumba hyo ya kina tatu kulikuwa na wapangaji wengi sana mfano mama mkwawa, mama ismail, mama zakia, na mama tom au dollar,


Mimi ni ephraim ibrahimu, namtafuta tatu omary from songea bomba mbili.


Mawasiliano

Jina: ephraim ibrahimu.

0656800138, 0769289019.

dar es salaam.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide3-mliopoteana.GIF