ephraim ibrahimu, namtafuta edmond mapunda.


nimeish songea na nimesoma shule ya msingi majengo nimesoma hapo darasa la kwanza mpaka la tatu mwanzon miaka ya 2002 nikaondok, nilikuwa naish bomba mbil edmond mapunda alikuwa rafiki yangu sana yeye kipind hicho alikuwa akiish jiran na shule ya majengo na alikuwa akisumbuliwa sana na mafua huyu jamaa,


Mimi ni ephraim ibrahimu, namtafuta edmond mapunda.


Mawasiliano

Jina: ephraim ibrahimu.

0656800138.

dar es salaam.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide2-utotoni.GIF