Tafuta

AckySHINE Kutafutana

Mahali pa kutafuta marafiki mliopotezana

HOME | WANAOTAFUTWA | WANAOTAFUTA | TOA POSTI

.

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


mtu.gif

** Rashidi juma nyoni, namtafuta yahaya juma nyoni.**


kaka mimi mdogoako lashidi naona tumepotezana mda sana atanamba yako sina kwanini?inakua ivyo sisi wote baba Mmoja mama mmoja alafu ubaya zaidi tuko wawili!


Mimi ni Rashidi juma nyoni, namtafuta yahaya juma nyoni.


Mawasiliano

Jina: Rashidi juma nyoni.

nakuomba tukutane nipo dar.

segelea.