Naitwa muhammad lakin nitatumia jina maarufu charles michael, namtafuta Sebastian na merresiana sospita kalilwa.


Nawatafuta wadogo zangu tulio zaliwa tumbo moja baba tofaut niliachana nao mwaka 20004 mm nikaenda bukoba niliwaacha wao geita nilivo rud nikakuta mama kafark nao sikuwaona tena had leo hii mm nikaka ao wakwanza naitwa charles wao baba yao anaitwa sospita kalilwa


Mimi ni Naitwa muhammad lakin nitatumia jina maarufu charles michael, namtafuta Sebastian na merresiana sospita kalilwa.


Mawasiliano

Jina: Naitwa muhammad lakin nitatumia jina maarufu charles michael.

Atakae wapata naomba awape number hii au anipigie niweze kuongea nao 0763933168.

Mm nimzaliwa wa sengerema mwanza kwasasa nipo arusha..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


KADI-SALAMU-USIKU-MZAZI.JPG

.