Emanuel Fanuel, namtafuta Sophia Issa.


Sophia Nilisoma nae shule ya sekondar kimaseki iliyopo jijini Arusha,sophia alikuwa mbele yangu kimasomo sophia alikuwa na rafiki yake aliyeitwa naomi,sophia alikuwa anaishi Shamsi,popote ulipo naomba unitafute nilikutafuta kwa muda mrefu sana nisijue nitakupata vipi,leo yaweza ikawa bahati yangu kukutana na ww tena.


Mimi ni Emanuel Fanuel, namtafuta Sophia Issa.


Mawasiliano

Jina: Emanuel Fanuel.

0757863734 au 0657231258.

Nipo Dar es salaam..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


KADI-TUKUTANE-MZAZI.JPG

.