PATRICK KENNETH BARANUBA, namtafuta PAUL MKOLOMA.


NAMTAFUTA PAUL MKOLOMA, TULIYE KUWA NAYE ROOM MOJA BUTIMBA TTC, MWAKA 1978/79. BAADA YA HAPO, HATUKUONANA TENA, KWANI YEYE ALIENDA DAR, NAMI NIKAJA KIGOMA.


Mimi ni PATRICK KENNETH BARANUBA, namtafuta PAUL MKOLOMA.


Mawasiliano

Jina: PATRICK KENNETH BARANUBA.

0629358759
0656232232.

KIBONDO, KIGOMA..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide3-mabestimliopotezana.PNG

.