Tafuta

AckySHINE Kutafutana

Mahali pa kutafuta marafiki mliopotezana

HOME | WANAOTAFUTWA | WANAOTAFUTA | TOA POSTI

.

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide2-mabesti-utotoni.PNG

** Shabani Issa Ngarama zamani waliniita Sikitu, namtafuta Clementina Msafiri.**


Nilisoma naye shule ya Msingi Muhange na alihama tukiwa darasa la tatu kwenda Dodoma. Tulionana mara ya mwisho akiwa amehitimu kidato cha nne kule Mabamba Kigoma. Nasikia yupo mkoani Kagera na anafundisha shule ya Sekondari


Mimi ni Shabani Issa Ngarama zamani waliniita Sikitu, namtafuta Clementina Msafiri.


Mawasiliano

Jina: Shabani Issa Ngarama zamani waliniita Sikitu.

Email Address moc.liamg|08amaragns#moc.liamg|08amaragns au simu namba 0757 222 255/ 0785 551 522.

Mimi nipo Karagwe nafanya kazi Radio Karagwe FM..