Afro frayerne, namtafuta Irene.


Naitwa afro nipo mwanza kwa sasa namtafuta rafiki yangu wa dhati anaitwa Irene kutokea manyara nilipotezana nae karibia mwaka 2010-2011 wakati huo nikiwa bukoba blna yeye akiwa manyara.sina hakika kama jina hili atalikumbuka lakini kama akipata ujumbe huu naomba anitafute kwa 0762589229


Mimi ni Afro frayerne, namtafuta Irene.


Mawasiliano

Jina: Afro frayerne.

+255762-589-229.

Mwanza..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG

.