Naitwa eliya yusufu bakary, namtafuta Anna.


Mm nilikuwa mfanya biashara wa nguo za mitumba huko mkoa tabora wilaya ya igunga na nzega mjini.nilipata nafasi yakuanza kuzungusha kila sehemu ya vijiji kwenye magulio tofaut tofaut nilibahatika kupata rafiki wa kike/girl friend anaitwa anna ambaye tulipenda sana kutokana na changamoto za maisha nilirudi nyumban singida baada yakupata kazi nyingine nilikaa miezi 2 nikapoteza cm yangu hapo dipo chanzo cha sisi kupotezana.kama popote alipo ajue mm bado nipo nampenda na wote marafiki zang wote hapo mwisi akina saa mbili wateja wangu wote ilasahivi mimi niko dar es salam, wanitafute kupitia namba hii hapa chini.


Mimi ni Naitwa eliya yusufu bakary, namtafuta Anna.


Mawasiliano

Jina: Naitwa eliya yusufu bakary.

namba yangu ni 0712678718.

Dar es salam mbezi..

Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG

.