Abduljida Hussein Ndove, namtafuta Omari Hussein Ndove.


mimi ni mdogo wako wa mwisho ktk familia ya mzee hussein ndove .mara ya mwisho uliniaga unaenda mozambique ndo ukakata mawasiliano hadi leo mia kumi imepita .Plz km uko hai naitaji kukuona mdogo wako


Mimi ni Abduljida Hussein Ndove, namtafuta Omari Hussein Ndove.


Mawasiliano

Jina: Abduljida Hussein Ndove.

wasiliana nami kwa no. 0659969660 au 0783297871.

Niko Temeke DSM.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


wadogo.gif