, namtafuta SECILIA ISRAEL KIBONA.


Naitwa happiness Mtowela na mtafuta rafiki yangu kipenzi anaitwa Secilia Israel Kibona. Nilisoma nae shule ya msingi Minazi Mirefu iliopo Banana - Ukonga mwaka 2001. mwaka 2003 tulihamishwa shule nyingine mpya itwayo Air Wing Primary School iliopo banana -Ukongo, kufika mwaka 2004 Secilia aliama na kuamia shule ya English Medium jina la shule silikumbuki. Mimi naishi Gongo Mboto na yeye alikuwa anaishi Gongo la mboto mwisho wa lami. Rafiki yake Secilia mkubwa kwa nyumbani kwao alikuwa anaitwa Benito Likonga huyo Benito alikuwa mtoto wa mwalimu Mchau, mwalimu wa somo la kiswahili.


Mimi ni , namtafuta SECILIA ISRAEL KIBONA.


Mawasiliano

Jina: .

moc.liamg|260ssenippah#moc.liamg|260ssenippah or kwa face book Happiness Faustino.

Gongo la mboto maeneo ya Chuo cha Kampala Unirvesity .Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide1-mabest-skull.PNG