Khadija kasimu mbugi, namtafuta Husna Kasimu Mbugi.


Namtafuta Dada yangu anaitwa Husna kasimu mbugi aliachwa akiwa mdogo sana katika kijiji cha Ndukuti Singida kabla hata Mimi sijazaliwa kwa sasa Mimi naishi Sumbawanga ila familia yangu inaishi Arusha na mama yangu anaitwa Zubeda Athumani juma


Mimi ni Khadija kasimu mbugi, namtafuta Husna Kasimu Mbugi.


Mawasiliano

Jina: Khadija kasimu mbugi.

0766677262au0627522594/ 0754045288.

Nipo wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


rafiki.gif