Tafuta Marafiki Ndugu Jamaa Na Mliosoma Pamoja

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja

Kutafuta mliopotezana

Bofya Hapa

Slide3-mabestimliopotezana.PNG

shija nkuli shija, namtafuta majina siyajui lakini jina la baba yake anaitwa john.


mimi namtafuta mama tangia anizae sijawahi kumuona aliniacha nikiwa mtoto huko ludeba yeye akarudi tinde


Mimi ni shija nkuli shija, namtafuta majina siyajui lakini jina la baba yake anaitwa john.


Mawasiliano

Jina: shija nkuli shija.

atumie namba yangu ya simu 0766452994.

nipo lunzewe wilaya ya chato mkoa wa geita kijiji cha mnekezi.ndugu.gif

WANAOTAFUTWA


WANAOTAFUTA


page 1 of 10043123...1004210043next »