verry anizeth chuwa, namtafuta Lukasi Mapunda.


tulisoma wote shule ya msingi Muungano moshi mjini karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa Kilimanjaro,tuliishi nao line police kutokana na kazi za wazazi wetu,kwa sasa nipo dar,alikuwa rafiki yangu mkubwa mno,mara ya mwisho tuliachana tukiwa darasa la tatu,alikuwa nangugu yake anaitwa safina


Mimi ni verry anizeth chuwa, namtafuta Lukasi Mapunda.


Mawasiliano

Jina: verry anizeth chuwa.

0716101050.

Moshi kwasasa.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide2-mabesti-utotoni.PNG