tafuta-ndugu.gif

kulwa ndenga , namtafuta john sanga, sophia mgongolwa,ombefei nyagawana fadhira sangana,.


jina hilo hapo juu nilie soma shule ya msingi kiponzelo iringa na kumaliza darasa la saba mwaka 2008 namtafuta rafiki angu john sanga aliekuwa anakaa na doctor sanga miaka ya 2003/4 tulipotezana baada ya kuhama shuleni hapo na kuhamia shule nyingine pia mwingine ni sophia mgongolwa mjukuu mzee kisweswe tutafutane kwa namba nilzoweka chini hapo


Mimi ni kulwa ndenga , namtafuta john sanga, sophia mgongolwa,ombefei nyagawana fadhira sangana,.


Mawasiliano

Jina: kulwa ndenga .

Tuwasiliane kwa namba 0745477073.

kwa sasa nipo dare salaam .Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>