Tumsifu James Gwangoye, namtafuta Beti James Gwangoye.


Namtafuta ndugu yangu tuliepotezana toka mwaka 1989 anaitwa beti mmewake anaitwa walioba masanja mtoto wake wakwanza anitwa boke yupo msoma mimi nipo kibondo sote ni wazaliwa wa mkoa wa kagera ngara mjini tulipo zaliwa


Mimi ni Tumsifu James Gwangoye, namtafuta Beti James Gwangoye.


Mawasiliano

Jina: Tumsifu James Gwangoye.

.

Msoma butiama .Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide1-mabest-skull.PNG