Slide2-mabesti-utotoni.PNG

Edith shonga, namtafuta Hilda chikudulo.


tulisoma wote karume primary.yy ulihamia darasa la pili.tulikuwa tunaishi wote mburahati.karibu na baa ya mk.kaka yako alikuwa anaitwa Gordon.na ulikuwa unaundugu na mwalimu mputa.kabila ni mnyasa.na mm ni Mngoni.nakutafuta sana.


Mimi ni Edith shonga, namtafuta Hilda chikudulo.


Mawasiliano

Jina: Edith shonga.

anitafute kwa no:0787 21 98 82..

naishi g/mboto kwa sasa.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>