Namtafuta dadaangu

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja

Kutafuta mliopotezana

Bofya Hapa

Slide2-mabesti-utotoni.PNG

Braity lucas maninje, namtafuta Sophia maninje.


Babaangu katka harakat zake za kutafuta maisha alifanikiwa kumpata mwanamke aliyezaanae mtoto waliyempa jina la shophia, baada ya hapo baba aliondoka dar na kuelekea iringa kutafuta maisha huku akiwa amemwacha mke na mtoto,alipofika kule aliaza maisha yake mengine na kumpta mwanamke mwingne na kuzaa nae mtoto ambaye n mm, sikumoja wakat tumekaa akanambia mwangua hv unajua kuwa unadadaako anaitwa shopia yupo dar lakin cjui wapo sehemu gan kwa sasa coz n kipnd kirefu nilimwacha huko dar, akasema mala ya mwisho aliwaacha wanaish tegeta tank bovu


Mimi ni Braity lucas maninje, namtafuta Sophia maninje.


Mawasiliano

Jina: Braity lucas maninje.

0658723870.

Kinondon mkwajun dar es salaam.tafuta-ndugu.gif

WANAOTAFUTWA


WANAOTAFUTA


Kichekesho%20Kipya Marafiki zako wa enzi ukiwa mdogo wanakutafuta hapa Wanataka mkumbukie furaha na raha za utotoniπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
Kichekesho%20Kipya Hapa unaweza kutafuta ndugu zako mliopotezana Wanakutafuta kwenye mtandaoπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
page 1 of 9522123...95219522next »