Tafuta Wanafunzi Mliopotezana

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja

Kutafuta mliopotezana

Bofya Hapa

utotoni.gif

Salimu Phinias, namtafuta Peter James.


Nimesoma nae katika shule ya msingi Nansuruli iliyoko Mkoa wa Mara wilaya ya Bunda, kibara anaishi nyumbani kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo (mwalimu Majige) wakati huo akiwa. Baadae alienda kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya sekondari chitengule mwaka 2006, nikaondoka mpaka sasa sijabahatika kukutana nae.


Mimi ni Salimu Phinias, namtafuta Peter James.


Mawasiliano

Jina: Salimu Phinias.

anitafute, kupitia simu namba:- +255746 065 461. au kupitia email:-
moc.liamg|73sainihpumilas#moc.liamg|73sainihpumilas, au moc.liamg|73sainihpluap#moc.liamg|73sainihpluap, anuani hii, Salimu phinias, P.O.BOX 193, Mshikamano Meatu, simiyu..

kwa sasa niko Wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu..kj.gif

WANAOTAFUTWA


WANAOTAFUTA


Kichekesho%20Kipya Marafiki zako wa zamani utawakuta hapa sasa Bado wanakupenda sana na wanakungoja kwa hamu kubwaπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
Kichekesho%20Kipya Kutana na marafiki zako wa enzi hizo hapa Wewe ni miongoni mwa rafiki yao wa kipekee sanaπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
page 1 of 9512123...95119512next »