Salimu Phinias, namtafuta Peter James.


Nimesoma nae katika shule ya msingi Nansuruli iliyoko Mkoa wa Mara wilaya ya Bunda, kibara anaishi nyumbani kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo (mwalimu Majige) wakati huo akiwa. Baadae alienda kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya sekondari chitengule mwaka 2006, nikaondoka mpaka sasa sijabahatika kukutana nae.


Mimi ni Salimu Phinias, namtafuta Peter James.


Mawasiliano

Jina: Salimu Phinias.

anitafute, kupitia simu namba:- +255746 065 461. au kupitia email:-
moc.liamg|73sainihpumilas#moc.liamg|73sainihpumilas, au moc.liamg|73sainihpluap#moc.liamg|73sainihpluap, anuani hii, Salimu phinias, P.O.BOX 193, Mshikamano Meatu, simiyu..

kwa sasa niko Wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu..Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide3-mabestimliopotezana.PNG