utotoni.gif

DAVID GIDION MWAMBAGE, namtafuta SOFIA FREDY MWAMBAGE.


Kuna mtoto wa kakaangu anaitwa sofia FRED MWAMBAGE tulipotezana tangu mwaka 1992 huko mbeya huyu mama yake sofia aliolewa na mwanaume mwingine ambapo walihamia MWANZA na mbeya walikuwa wanaishi MAJENGO SOKOMATOLA na kwa tetesi ni kwamba alimbadilisha jina la kiislam na brother alishafariki na mimi nimebakia hivyo natamani nimpate huyo mtoto wake


Mimi ni DAVID GIDION MWAMBAGE, namtafuta SOFIA FREDY MWAMBAGE.


Mawasiliano

Jina: DAVID GIDION MWAMBAGE.

ANIPIGIE KWA NAMBA HII 0754256730.

NIPO MBEYA.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>