Tafuta Marafiki Ndugu Jamaa Na Mliosoma Pamoja

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja

Kutafuta mliopotezana

Bofya Hapa

rafiki.gif

NEEMA PAULO ZAWADI, namtafuta LEONARD.


Mimi ni neema toka KAGERA bukoba nilipotezena na MME wangu waka 1995 aliniacha na mimba na sasa nimezaa namtoto yupo hai na Mme alikua anaitwa LEONARD arikua akisomea ufundi wa ujenzi bukoba baada yakunipa mimba wazazi wangu wakawa wakali akaamua kutoloka na nasikia yupo DAR ES SALAMU MPAKA SASA ila sina mawasiliano nae naomba anitafute kwa namba hizi
0752311213
0755724448
0656400690


Mimi ni NEEMA PAULO ZAWADI, namtafuta LEONARD.


Mawasiliano

Jina: NEEMA PAULO ZAWADI.

0752311213
0755724448.

bukoba kagera.tafuta-ndugu.gif

WANAOTAFUTWA


WANAOTAFUTA


Kichekesho%20Kipya Njia nzuri za kutafuta Mabesti mliopotezana Anaweza akawa na yeye anakutafuta πŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
Kichekesho%20Kipya Unaweza kutafuta ndugu zako mliopotezana hapa Wanapatikana kirahisi kweli kwa sasaπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
page 1 of 9502123...95019502next »