Lugano Livingstone Mwang'onda , namtafuta Penina Methew .


Tumesoma wote Shule ya msingi uhuru ipo Makambako ni mtoto wa mwanajeshi baba yake ni marehemu Mara ya mwisho tuliachana mbeya akiwa anakaa karibu na meta secondary na karibu na hostel za njee za kupanga za meta secondary ilikuwa mwaka 2008 ndio mwisho wa kuonana


Mimi ni Lugano Livingstone Mwang'onda , namtafuta Penina Methew .


Mawasiliano

Jina: Lugano Livingstone Mwang'onda .

Email yangu moc.liamg|iduadonagul#moc.liamg|iduadonagul au 0755803949 au 0712758128 .

Kwa sasa nipo dar es salaam mawasiliano yangu ni 0755803949 au 0712758128 .Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


Slide2-mabesti-utotoni.PNG