Tafuta

AckySHINE Kutafutana

Mahali pa kutafuta marafiki mliopotezana

HOME | WANAOTAFUTWA | WANAOTAFUTA | TOA POSTI

.

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>


ndugu.gif

RAPHAEL DAUD MAKOYE, namtafuta .


MWALIM LIDYA MPEMBA ULIHAMA CHONA MWAKA 2013 UKANIACHA NASOMA DARASA LA SABA UKAHAMIA MOROGORO NAKUKUMBUKA KWANI MPAKA KUHAMA KWAKO ULIKUWA MWALI WANGU WA SOMO LA STADI ZA KAZI DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA MSINGI CHONA NA ULIKUWA UNANIAMINI SANA UKAWA UNANIPA BIASHARA YAKO YA UBUYU WAKATI WA MICHEZO YA UMITASHUMITA ZILIPOKUWA ZINA KUSANYIKA SHULE SABA ZA KATA YA CHONA AMBAZO NI SHULE YA MSINGI 1.CHONA 2.ITEBELE 3.ISHILA 4.BUSENDA 5.NHIMBO 6.NSIMBA 7.NSALABA PIA ULIFUNDISHA KUCHEZA UTAMADUNI WAKATI WA FAINALI ZA MICHEZO YA UMITASHUMITA KWANI POPOTE PALE ULIPO NAKUKUMBUKA SANA MIMI MWANAFUNZI WAKO MIMI RAPHAEL DAUD MAKOYE NIPATIKANA HUKUHUKU CHONA


Mimi ni RAPHAEL DAUD MAKOYE, namtafuta .


Mawasiliano

Jina: RAPHAEL DAUD MAKOYE.

LIDYA MPEMBA.

CHONA.