Tafuta Ndugu Mliopotezana

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja

Kutafuta mliopotezana

Bofya Hapa

ndugu.gif

venance joel malamla, namtafuta SOSTENES TEGETE.


tulisoma wote shule ya msingi Lupa tingatinga iliyopo wilaya ya chunya na tulimaliza mwaka 1988 nikaenda sekondari ya ufundi Ifunda iringa.


Mimi ni venance joel malamla, namtafuta SOSTENES TEGETE.


Mawasiliano

Jina: venance joel malamla.

moc.liamg|acevlalmalam#moc.liamg|acevlalmalam.

arusha tanzani.Ndugu.gif

WANAOTAFUTWA


WANAOTAFUTA


Kichekesho%20Kipya Mtafute ndugu yako hapa Na yeye anakutafuta sanaπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
Kichekesho%20Kipya Tafuta ndugu zako msiojuana hapa Unaweza ukawajua kwa kujieleza na kuwasomaπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
page 1 of 9512123...95119512next »