Slide2-mabesti-utotoni.PNG

Kibena Mwaruka, namtafuta Christina, Flora Kung'aro.


Tuliishi na kusoma wote Kabungu shule ya Msingi Mpanda, yeye akiwa mtoto wa Katibu Tarafa, na mimi mtoto wa Mratibu Tarafa


Mimi ni Kibena Mwaruka, namtafuta Christina, Flora Kung'aro.


Mawasiliano

Jina: Kibena Mwaruka.

anipigie namba 0652025892.

.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>