Slide2-utotoni.GIF

Venance Joseph Bundege, namtafuta Deogratius Alphonce Bundege.


Mim Nilikuwa Mkaz Wa Mwanza Ilemela Pale Igombe Nilitoka Bila Kuagana Na Ndugu Zangu Nikiwa Darasa La Tano Ktk Shule Ya Igombe Ikitazamana Na Bugogwa S/m Dah Kwa Kwel Iliniuma Sana Kwan Nilikuwa Nikiish Kwa Baba Yangu Mdogo Alphonce Bundege Akiwa Na Watoto Wake Akina Deogratius Na Anthonia Pia Na Agness Huku Mkewe Akiwa Korona Wilium Ila Kwa Sasa Nahsi Yuko Kidato Cha 3 Ktk Shule Ya Sec Bugogwa


Mimi ni Venance Joseph Bundege, namtafuta Deogratius Alphonce Bundege.


Mawasiliano

Jina: Venance Joseph Bundege.

apige cm no. 0743702103.

Katoro_geita.Hata wewe msomaji unaweza kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja mliopotezana hapa

Kutafuta mliopotezana

<<BOFYA HAPA>>