Tafuta Ndugu Mliopotezana

Tunakuwezesha kutafuta Marafiki, ndugu, jamaa na mliosoma pamoja

Kutafuta mliopotezana

Bofya Hapa

Slide1-mabest-skull.PNG

wema arfredy mwang'oka kapola, namtafuta Arfredy (mwang'oka )kapola.


Namtafuta baba yangu Alfredo mwang'oka kapola nilipotezana nae nikiwa Niko mdogo sana baada ya mama yangu kutoroshwa na ndugu zake mama jina lake ni Joyce walimtaftia mwanaume mwingine huko mkoa wa kagera wilaya ya Karagwe hivyo nilikuwa nabibi yangu nae baadae akafariki dunia tokea hapo nilinza kutapatapa nikaeda kahama shinyanga kwa mama mdogo,.mama yangu ana asiri ya kinyarwanda.hivyo aliniambia kuwa baba yangu ambaye ni arfredy mwang'oka alikuwa ni mwanajeshi pia aliniambia kuwa nizaliwa hospital ya mwananyamara,hivyo niliwahi kusikia kuwa baba aliwahi kunitafuta sana,nami pia popote alipo namtafuta sana sana naukoo wangu pia nautafuta sana hasanteni sana.


Mimi ni wema arfredy mwang'oka kapola, namtafuta Arfredy (mwang'oka )kapola.


Mawasiliano

Jina: wema arfredy mwang'oka kapola.

No:0752037910(0769201797(0759400078).

mkoa wa shinyanga wilaya kahama Mtaa wa nyahanga.kj.gif

WANAOTAFUTWA


WANAOTAFUTA


Kichekesho%20Kipya Kutana na wale mliosoma pamoja Bado wanakumbukia urafiki wa Kishule shuleπŸ‘‰Jua zaidi>>Kizuri
page 1 of 10035123...1003410035next »