Ukaguzi wa Kila siku
β€’ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.
β€’ Ondoa kinyesi kwa kuku.
β€’ Waangalie kuku wako kwa makini ili kujua afya na maendeleo yao. Yaani ili kutambua kama kuna mwenye ugonjwa

Ukaguzi Kwa wiki
β€’ Ondoa matandazo machafu na kuweka mapya ili kuzuia kuzaliana kwa vijidudu vya magonjwa.

Ukaguzi kwaKwa mwezi
β€’ Angalia uwepo wa wadudu na chawa, kisha utibu kama kuna ulazima.


SALAMU-MPENZI-MCHANA-33097HG34MX.JPG

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwa).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

πŸŒ½πŸ„ Makala nyingine za Ushauri wa Kilimo na UfugajiπŸ‘‡

KM.gif

ndugu.gif