Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambani

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Look for baseline survey expert?

Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;

1. Ni lazima kuimarisha rutuba kwenye udongo ili mimea iwe na afya. Mimea yenye afya ina uwezo wa kukabiliana na wadudu.

2. Hifadhi makazi ya wanyama wanaokula wadudu waharibifu.

3. Nyunyizia dawa za kuulia wadudu mapema asubuhi au jioni. Hii itaongeza ufanisi wa dawa.

4. Panda mazao ya aina mbalimbali shambani. Hii ni njia nzuri ya kufanya wanyama wanaowinda wadudu wawepo kwa muda mrefu. Kwa mfano vinyonga

.

UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG
SALAMU-MPENZI-MCHANA-33097HG34MX.JPG