Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambani, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali.

Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali

By, Melkisedeck Shine.

Mtaalamu wa nyuki

Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki.

Sehemu salama kwa ajili ya mzinga

Unahitaji kutafuta mahali pazuri, salama, na penye sifa ya kufugia nyuki. Vifaa vyote vikishapatikana kinachofuata ni kuchagua mahali gani pa kuweka mzinga. Hakikisha sehemu hii ni mahali ambapo makundi ya nyuki hukusanyika mara kwa mara.

Uwekaji Bora wa Mizinga

Ukishatafuta ya sehemu ya kuweka mizinga, kinachofuata ni kuandaa mizinga kwa ajili ya kuweka panapotakiwa.

Mambo ya muhimu ya kuzingatia
• Kwanza Safisha mzinga kuondoa uchafu wote, utando wa buibui na aina nyingine za wadudu.
• Kisha Weka chambo kwenye mzinga (maranyingi nta hutumika kama chambo) kwa kuipaka katika kuta za mzinga kwa ndani.
• Halagu Mzinga unaweza kutundikwa kwenye mti, kwenye nguzo, kuweka kwenye jukwaa au kwenye miamba. Hii inategemea wewe mwenyewe anapendelea njia ipi.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora… soma zaidi
a.gif Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo.
Sababu muhimu za kulima/kutifua udongo ni:
• Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.
• Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kwenye hewa… soma zaidi
a.gif Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majani
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye majani au shina ambapo ndipo chakula kinahitajika… soma zaidi
a.gif Unapotaka kunyunyiza mbolea ya maji shambani zingatia mambo haya ya muhimu
Ili upate matokeo mazuri wakati wa kunyunyiza mbolea ya maji unatakiwa kufuata vigezo vifuatavyo:
• Inashauriwa kutumia mbolea iliyochanganywa vizuri ili kuepukana na kuunguza mimea.
• Unatakiwa kutingisha vizuri mbolea yako ya maji kabla ya kunyunyiza. Chembechembe ndogo ambazo hazikuyeyuka zinaweza kuziba mdomo wa bomba la kunyunyizia.
• Matokeo mazuri yanaweza kupatikana endapo mbolea imechanganywa vizuri na kunyunyiziwa wakati hakuna upepo.
• Unatakiwa kunyunyizia mbolea wakati wa asubuhi au jioni wakati hakuna joto na upepo ukiwa umepungua… soma zaidi
a.gif Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;.. soma zaidi
a.gif Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora… soma zaidi
a.gif Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwa
Ukaguzi wa Kila siku
• Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.
• Ondoa kinyesi kwa kuku.
• Waangalie kuku wako kwa makini ili kujua afya na maendeleo yao. Yaani ili kutambua kama kuna mwenye ugonjwa.. soma zaidi
a.gif Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu
Wigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inaweza kutumika kama kizuizi cha wadudu kuhama hama… soma zaidi
a.gif Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambani
Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;.. soma zaidi
a.gif Mambo 8 ya kuzingatia kabla ya kuleta mifugo (kuku, ng'ombe,mbuzi n.k) wapya bandani
Mambo hayo ni haya yafuatayo;
1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba,
2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea… soma zaidi

Makala hii kuhusu, Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu, endelea kusoma...

• Canibalism Kwa Kuku Au Tatizo La Kudonoana, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea, endelea kusoma...

• Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo, endelea kusoma...

• Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majani, endelea kusoma...

• Unapotaka kunyunyiza mbolea ya maji shambani zingatia mambo haya ya muhimu, endelea kusoma...

• Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku, endelea kusoma...

• Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku, endelea kusoma...

• Namna ya kulisha kuku ili wasipatwe na magonjwa, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-MZAZI-ASUBUHI.JPG
ndugu.gif