Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo.

Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo

By, Melkisedeck Shine.

Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora.

Umuhimu wa kutifua udongo ni kama ifuatavyo
1. Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.
2. Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kwenye hewa.
3. Kunawawezesha viumbe hai waliopo kwenye udongo kufanya kazi zao ipasavyo.
4. Kunasaidia Kuandaa sehemu ya kuwekea mbegu.
5. Kutifua kunauongeza uwezekano wa maji kupenya kwenye udongo na kupunguza uyeyukaji wa maji.
6. Kuchanganya mabaki ya mimea na samadi kwenye udongo

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo.
Sababu muhimu za kulima/kutifua udongo ni:
• Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.
• Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kwenye hewa… soma zaidi
a.gif Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majani
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye majani au shina ambapo ndipo chakula kinahitajika… soma zaidi
a.gif Unapotaka kunyunyiza mbolea ya maji shambani zingatia mambo haya ya muhimu
Ili upate matokeo mazuri wakati wa kunyunyiza mbolea ya maji unatakiwa kufuata vigezo vifuatavyo:
• Inashauriwa kutumia mbolea iliyochanganywa vizuri ili kuepukana na kuunguza mimea.
• Unatakiwa kutingisha vizuri mbolea yako ya maji kabla ya kunyunyiza. Chembechembe ndogo ambazo hazikuyeyuka zinaweza kuziba mdomo wa bomba la kunyunyizia.
• Matokeo mazuri yanaweza kupatikana endapo mbolea imechanganywa vizuri na kunyunyiziwa wakati hakuna upepo.
• Unatakiwa kunyunyizia mbolea wakati wa asubuhi au jioni wakati hakuna joto na upepo ukiwa umepungua… soma zaidi
a.gif Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;.. soma zaidi
a.gif Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako… soma zaidi
a.gif Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpya
Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;.. soma zaidi
a.gif Jinsi ya kumlisha n'gombe anayekamuliwa atoe maziwa mengi
Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika kipindi cha miezi 3-4 ya mwanzo baada ya kuzaa, wakati ambao uzalishaji wa maziwa unakuwa juu… soma zaidi
a.gif Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo.
Sababu muhimu za kulima/kutifua udongo ni:
• Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.
• Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kwenye hewa… soma zaidi
a.gif Ugonjwa wa tetanasi au pepopunda unaoathiri sana punda na binadamu
Huu ni ugonjwa hatari sana kwa maisha ya binadamu. Kinyesi cha punda kinabeba vimelea vijulikanavyo kama clostindium tetanii vinavyosababisha ugonjwa wa tetanasi… soma zaidi

Makala hii kuhusu, Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi ya kutengeneza mbolea ya mboji kitaalamu na kwa urahisi, endelea kusoma...

• Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea, endelea kusoma...

• Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majani, endelea kusoma...

• Unapotaka kunyunyiza mbolea ya maji shambani zingatia mambo haya ya muhimu, endelea kusoma...

• Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku, endelea kusoma...

• Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku, endelea kusoma...

• Namna ya kulisha kuku ili wasipatwe na magonjwa, endelea kusoma...

• Namna ya kutunza kuku na kuwakinga na magonjwa, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

KADI-MLO-MWEMA-MZAZI.JPG
SALAMU-MPENZI-MCHANA-33097HG34MX.JPG