Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwa

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwa.

Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwa

By, Melkisedeck Shine.

1. Nyumba ya kuku iwe safi na kavu muda wote kuzuia ueneaji na kuzaliana kwa vijidudu vya magonjwa

2. Nyumba ya kuku iwe na nafasi za kupitisha hewa ya kutosha ili kuepuka joto na unyevunyevu ambao unachangia uwepo wa magonjwa kwa kuku

3. Hakikisha unaondoa matandazo na takataka zote kwenye banda wakati wote hasa yenye unyevu.

4. Fagia banda na kuhakikisha ni safi wakati wote. Weka matandazo mapya mara kwa mara.
5. Weka sehemu za kutosha kuku kupumzikia.
6. Weka viota vya kutosha.
7. Weka maji sehemu ambayo ni rahisi kusafisha.
8. Hakikisha unaondoa wanyama kama panya na wadudu nyemelezi kwenye sehemu ya malisho ya kuku kwani wao hubeba vimelea vya magonjwa.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwa. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwa, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

โ€ข Jinsi vitunguu swaumu vinavyosaidia kuzuia wadudu shambani, endelea kusoma...

โ€ข Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea, endelea kusoma...

โ€ข Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambani, endelea kusoma...

โ€ข Mambo 8 ya kuzingatia kabla ya kuleta mifugo (kuku, ng'ombe,mbuzi n.k) wapya bandani, endelea kusoma...

โ€ข Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwa, endelea kusoma...

โ€ข Jinsi ya kutengeneza mbolea ya mboji kitaalamu na kwa urahisi, endelea kusoma...

โ€ข Jinsi ya kumlisha n'gombe anayekamuliwa atoe maziwa mengi, endelea kusoma...

โ€ข Jinsi vitunguu swaumu vinavyosaidia kuzuia wadudu shambani, endelea kusoma...

โ€ข Ugonjwa wa tetanasi au pepopunda unaoathiri sana punda na binadamu, endelea kusoma...

โ€ข Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpya, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwa, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-POLE-MZAZI.JPG
UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG