Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea.

Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea

By, Melkisedeck Shine.

MASHONANGUO.jpg

Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens
pilosa)
Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe.

Jinsi ya Kutayarisha na kutumia mashonanguo

  1. Jaza kikombe kilichojaa mbegu ambazo zimekomaa na maji;
  2. Chemsha kwa dakika kumi au loweka kwenye maji kwa saa ishirini na nne, kisha upooze.
  3. Ongeza lita moja ya maji na kijiko kimoja kidogo cha sabuni;
  4. Kisha unyunyizie mimea.

Matumizi mengine

  1. Mbegu zinaweza kutawanyishwa karibu na vichaka kuvutia mchwa.
  2. Mmea waweza kupondwa au kufikichwa kisha maji yake yatumike kunyunyizia mimea.

Angalizo: Kiasi kingi cha dawa hii chaweza kudhuru baadhi ya maua ya mimea.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambani
Mbangimwitu.jpg

Mbangi mwitu au kwa kisayansi ni African marigold / (Tagetes erecta) Unazuia Bakteria, fungusi na wadudu kama vile Siafu, bungo pamoja na aina nyingine za wadudu… soma zaidi


a.gif Faida ya kupanda maharagwe katikati ya kabichi
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;.. soma zaidi
a.gif Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu
Wigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inaweza kutumika kama kizuizi cha wadudu kuhama hama… soma zaidi
a.gif Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambani
Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;.. soma zaidi
a.gif Aina kuu ya mizinga bora ya nyuki kwa ajili ya kupata asali nyingi
Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na wengi. Gharama yake ni ndogo kiasi kulinganisha na mingine. Ni aina nzuri sana kwa mtu anaeanza ufugaji wa nyuki kwa kuwa ni wa gharama nafuu. Mfugaji wa nyuki anaweza kutengeneza mzinga Yya aina hii mwenyewe kama ana utaalamu wa useremala… soma zaidi
a.gif Jinsi ya kumlisha n'gombe anayekamuliwa atoe maziwa mengi
Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika kipindi cha miezi 3-4 ya mwanzo baada ya kuzaa, wakati ambao uzalishaji wa maziwa unakuwa juu… soma zaidi
a.gif Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;.. soma zaidi
a.gif Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpya
Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;.. soma zaidi
a.gif Canibalism Kwa Kuku Au Tatizo La Kudonoana
"Cannibalism,"
Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni moja ya athari ya lishe duni. Ni kisema lishe duni na maanisha chakula wanacho kula kukosa vurutubisho muhimu vya madini au kuku kutokula chakula cha kutosha… soma zaidi
a.gif Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea
MASHONANGUO.jpg

Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens
pilosa)
Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe… soma zaidiMakala hii kuhusu, Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi ya kumlisha n'gombe anayekamuliwa atoe maziwa mengi, endelea kusoma...

• Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambani, endelea kusoma...

• Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwa, endelea kusoma...

• Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambani, endelea kusoma...

• Faida ya kupanda maharagwe katikati ya kabichi, endelea kusoma...

• Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu, endelea kusoma...

• Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambani, endelea kusoma...

• Aina kuu ya mizinga bora ya nyuki kwa ajili ya kupata asali nyingi, endelea kusoma...

• Mambo 5 ya muhimu kuzingatia kuhusu mahali unapotaka kuweka mizinga ya nyuki, endelea kusoma...

• Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

KADI-MZAZI-ASUBUHI.JPG
UJUMBE-KUOMNBA-KUKUTANA-NA-NDUGU.JPG