Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpya

By, Melkisedeck Shine.

Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;

  1. Tafuta mahali pazuri pa-kuning’iniza mzinga wako.
  2. Weka nta kwenye mizinga yako ili kuwavutia nyuki.
  3. Hakikisha unaweka mizinga yako katika hali ya usafi na kusiwe na wadudu. Nyuki hawapendi kukaa mzinga mchafu.
  4. Hakikisha hakuna siafu wala panya wanaoishi kwenye mzinga.
  5. Ning’iniza mzinga msimu ambao kuna makundi mengi ya nyuki yanayohama. Makundi ya nyuki huama wakati ambao nyuki wamezaliana kwa wingi na kuwepo malikia mwingine kwenye mzinga hivyo kusababisha kuhama ili kuunda kundi jingine. Msimu huo wa mgawanyiko ni rahisi nyuki kufanya makazi katika mzinga wako kwa haraka. Kama haujui msimu wa makundi ya nyuki kuhama waulize wakulima wenzio wanaofuga nyuki katika eneo lako.KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpya;

a.gif Ugonjwa wa tetanasi au pepopunda unaoathiri sana punda na binadamu

Huu ni ugonjwa hatari sana kwa maisha ya binadamu. Kinyesi cha punda kinabeba vimelea vijulikanavyo kama clostindium tetanii vinavyosababisha ugonjwa wa tetanasi… endelea kusoma

a.gif Jinsi vitunguu swaumu vinavyosaidia kuzuia wadudu shambani

Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya… endelea kusoma

[Chemsha Bongo Kwako] 👉Je hapa sisi tuna Macho Mangapi?

KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG

a.gif Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majani

Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye majani au shina ambapo ndipo chakula kinahitajika… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutengeneza mbolea ya mboji kitaalamu na kwa urahisi

Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutengeneza virutubisho ambavyo husaidia kurutubisha udongo na kupunguza gharama… endelea kusoma

a.gif Kutangaza Vituo Vya Misaada Kwa Jamii

Kwenye Tovuti ya AckySHINE tunawakutanisha watu wanaotoa misaada mbalimbali kwa jamii hasa yatima, walemavu wasiojiweza na wazee, pamoja na Vituo vya kutolea Misaada.
Tunatoa nafasi kwa vituo vya kutoa msaada kwa jamii kutoa matangazo yao bure kwenye tovuti hii. Hatukusanyi michango yoyote bali tunatangaza vituo vya misaada… endelea kusoma

a.gif Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali

Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki… endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Biashara ya maisha

[Jarida la Bure] 👉Kijitabu cha Kilimo Bora cha Bamia

[SMS kwa Umpendaye] 👉SMS nzuriiii ya kumpa mtu hai

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

utotoni.gif
rafiki.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.