Tafuta

25

Unakumbuka marafiki zako wa enzi ukiwa mdogo? Wacheki hapa ukutane nao tena.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambaniπŸ‘‡βœ”

Mbangimwitu.jpg

Mbangi mwitu au kwa kisayansi ni African marigold / (Tagetes erecta) Unazuia Bakteria, fungusi na wadudu kama vile Siafu, bungo pamoja na aina nyingine za wadudu.

Hatua za Maandalizi ya dawa na kutumia

  1. Ponda gramu 100-200 za matawi, mizizi na maua;
  2. Weka lita moja ya maji yaliyochemka;
  3. Loweka kwa masaa ishirini na nne;
  4. Ongeza lita moja ya maji baridi,
  5. Nyunyiza kwenye mimea au mchanga.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambani).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Jinsi ya kutafuta marafiki zako mliopotezana Unaweza kuwatafuta kirahisi sana

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

nn.gif

.