Aina kuu ya mizinga bora ya nyuki kwa ajili ya kupata asali nyingi

By, Melkisedeck Shine.

Mizinga ya Kifuniko juu (Top bar)

Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na wengi. Gharama yake ni ndogo kiasi kulinganisha na mingine. Ni aina nzuri sana kwa mtu anaeanza ufugaji wa nyuki kwa kuwa ni wa gharama nafuu. Mfugaji wa nyuki anaweza kutengeneza mzinga Yya aina hii mwenyewe kama ana utaalamu wa useremala.

Kifuniko%20juu%20%28Top%20bar%29.jpg

Faida ya Mizinga ya Kifuniko juu (Top bar)
β€’ Ni rahisi kukagua asali iliyo tayari.
β€’ Ni rahisi kuvuna asali kuliko kuvuna toka kwenye mzinga wa kienyeji.
β€’ Ni rahisi kuwatunza nyuki wakati wa kiangazi na inapokuwa hakuna maua. Kwa mfano unaweza kuwapatia nyuki chakula ili kuongeza uzalishaji wa asali.
β€’ Ni rahisi kurina asali ukilinganisha na mizinga ya magogo inayotundikwa juu ya mti, kwa kuwa haihitaji vifaa maalumu.
β€’ Aina hii ya mizinga huwekwa kwa kuninginia jambo ambalo siyo rahisi kushambuliwa na wadudu/wanyama wanaokula asali kwa kuwa Inajaa haraka sana wakati ambao ni msimu wa asali kutengenezwa kwa wingi.

Hasara ya Mizinga ya Kifuniko juu (Top bar)
β€’ Kichane kwenye mzinga wa boksi hakina kishikizo hivyo huvunjika kwa urahisi sana kama hakitashikwa kwa uangalifu.
β€’ Masega huvunwa pamoja na asali, kwa hiyo nyuki wanalazimika kutengeneza tena masega mengine ambapo husababisha kupungua kwa uzalishaji wa asali.

Mzinga wa Langstroth

Mzinga wa Langstroth unaweza kukupatia asali zaidi kulinganishwa na mizinga mingine Hii ni aina nzuri na rahisa sana ya mzinga. Mizinga hii hufahamika kama mzinga wa fremu, kwa kuwa ina fremu ambazo vichane vya masega hujishikiza. Chumba kikubwa ambacho malkia hutagia mayai. Malkia anazuiliwa kuhama kwenda chumba kingine kwa kutumia waya. Kwenye chemba maalumu ya kutagia juu yake pana chemba ya kuhifadhia asali.

Mzinga%20wa%20Langstroth.jpg

Vichane vya masega vinatengezwa kwenye fremu na si kwenye nguzo kama ilivyo kwenye Top bar. Ili kuvuna asali, mfugaji akiwa na masega yaliyojaa asali, hutumia vifaa maalum kwa ajili ya urinaji na kuhifadhi asali bila kupata tabu.

Mzinga wa Langstroth ni gharama kiasi kulinganisha na mizinga mingine.Unaweza kuipata kutoka katika taasisi zinazojiusisha na uuzaji wa mizinga, taasisi na karakana binafsi, au wakala wa Serikali.

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Aina kuu ya mizinga bora ya nyuki kwa ajili ya kupata asali nyingi;

a.gif Mambo 5 ya muhimu kuzingatia kuhusu mahali unapotaka kuweka mizinga ya nyuki

Ukitaka kujua kuwa eneo unalotaka kuweka mizinga ya nyuki ni sahihi unatakiwa kuzingatia yafuatayo:.. endelea kusoma

a.gif Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali

Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki… endelea kusoma

a.gif Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambani

Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;.. endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] πŸ‘‰Fimbo yangu nzuri iliotea kwenye miiba

[Kichekesho Kwako] πŸ‘‰KICHEKESHO: Ukiona masikini Kachinja kuku

PONGEZI-MPENZI-24498UA8.JPG

a.gif Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambani

Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kumlisha n'gombe anayekamuliwa atoe maziwa mengi

Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika kipindi cha miezi 3-4 ya mwanzo baada ya kuzaa, wakati ambao uzalishaji wa maziwa unakuwa juu… endelea kusoma

a.gif Kampeni ya utunzaji wa vyanzo vya maji

Kampeni hii ilianzishwa na Melkisedeck Leon Shine mwaka 2018.
Lengo la kampeni Hii ni kuhamasisha watu kutunza vyanzo vya maji kwa manufaa yao ya sasa na kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Kampeni hii inaamini kuwa vyanzo vya maji vikitunzwa vizuri vinaweza kuwa msaada kijamii, kiuchumi na kimazingira kwa kizazi hiki na kizazi kijacho… endelea kusoma

a.gif Mambo 8 ya kuzingatia kabla ya kuleta mifugo (kuku, ng'ombe,mbuzi n.k) wapya bandani

Mambo hayo ni haya yafuatayo;
1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba,
2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea… endelea kusoma

[Msemo wa Leo] πŸ‘‰Chema na kizuri

[Jarida la Bure] πŸ‘‰Jarida la kilimo bora cha matikiti

[Hadithi Nzuri] πŸ‘‰Kisa kilichombadilisha mume tabia

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-HONGERA-NDUGUU.JPG
UJUMBE-WA-SHUKRANI-KWA-NDUGU.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.