PN.gif Jinsi ya kumlisha n'gombe anayekamuliwa atoe maziwa mengi
Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika kipindi cha miezi 3-4 ya mwanzo baada ya kuzaa, wakati ambao uzalishaji wa maziwa unakuwa juu.. soma zaidi
PN.gif Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo.
Sababu muhimu za kulima/kutifua udongo ni:
• Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.
• Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kwenye hewa.. soma zaidi
PN.gif Faida ya kupanda maharagwe katikati ya kabichi
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;. soma zaidi
PN.gif Mambo 8 ya kuzingatia kabla ya kuleta mifugo (kuku, ng'ombe,mbuzi n.k) wapya bandani
Mambo hayo ni haya yafuatayo;
1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba,
2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea.. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpya
Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;. soma zaidi
PN.gif Mambo Ya Kuzingatia Kuongeza Utagaji Wa Kuku
Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina ya mbegu ya kuku yenye sifa ya kutaga mayai mengi kama haitapewa matunzo mazuri  basi sifa yake ya utagaji itapotea.
Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 - 27 (siku moja) kutengeneza yai. Hakuna njia ya kupunguza muda huu (yaani atengeneze mayai miwili katika siku moja). Hiyo ndio asili yake. Njia Nzuri ya kumfanya kuku atage muda mrefu ni kumfanya awe na furaha na afya.
Njia za kuwafanya kuku wawe na furaha na afya:. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majani
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye majani au shina ambapo ndipo chakula kinahitajika.. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutengeneza mbolea ya mboji kitaalamu na kwa urahisi
Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutengeneza virutubisho ambavyo husaidia kurutubisha udongo na kupunguza gharama.. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambani
Mbangimwitu.jpg

Mbangi mwitu au kwa kisayansi ni African marigold / (Tagetes erecta) Unazuia Bakteria, fungusi na wadudu kama vile Siafu, bungo pamoja na aina nyingine za wadudu.. soma zaidi

PN.gif Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwa
1. Nyumba ya kuku iwe safi na kavu muda wote kuzuia ueneaji na kuzaliana kwa vijidudu vya magonjwa. soma zaidi
PN.gif Canibalism Kwa Kuku Au Tatizo La Kudonoana
"Cannibalism,"
Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni moja ya athari ya lishe duni. Ni kisema lishe duni na maanisha chakula wanacho kula kukosa vurutubisho muhimu vya madini au kuku kutokula chakula cha kutosha.. soma zaidi
PN.gif Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambani
Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;. soma zaidi
PN.gif Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.. soma zaidi
PN.gif Namna ya kulisha kuku ili wasipatwe na magonjwa
Safisha vyombo vya kulishia na kunyweshea kila siku. Osha, sugua vizuri, kisha suuza kuondoa utando unaobeba bakteria.. soma zaidi
PN.gif Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwa
Ukaguzi wa Kila siku
• Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.
• Ondoa kinyesi kwa kuku.
• Waangalie kuku wako kwa makini ili kujua afya na maendeleo yao. Yaani ili kutambua kama kuna mwenye ugonjwa. soma zaidi
PN.gif Unapotaka kunyunyiza mbolea ya maji shambani zingatia mambo haya ya muhimu
Ili upate matokeo mazuri wakati wa kunyunyiza mbolea ya maji unatakiwa kufuata vigezo vifuatavyo:
• Inashauriwa kutumia mbolea iliyochanganywa vizuri ili kuepukana na kuunguza mimea.
• Unatakiwa kutingisha vizuri mbolea yako ya maji kabla ya kunyunyiza. Chembechembe ndogo ambazo hazikuyeyuka zinaweza kuziba mdomo wa bomba la kunyunyizia.
• Matokeo mazuri yanaweza kupatikana endapo mbolea imechanganywa vizuri na kunyunyiziwa wakati hakuna upepo.
• Unatakiwa kunyunyizia mbolea wakati wa asubuhi au jioni wakati hakuna joto na upepo ukiwa umepungua.. soma zaidi
PN.gif Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora.. soma zaidi
PN.gif Jinsi vitunguu swaumu vinavyosaidia kuzuia wadudu shambani
Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya.. soma zaidi
PN.gif Namna ya kutunza kuku na kuwakinga na magonjwa
1. Zingatia chanjo muhimu kwa kuku ili kuzuia magonjwa kama utakavyoshauriwa na mtaalamu wa mifugo.
Chanjo huanza katika wiki ya kwanza (mfano chanjo ya kuzuia sotoka) na inaweza kurudiwa baadaye.. soma zaidi
PN.gif Mambo 5 ya muhimu kuzingatia kuhusu mahali unapotaka kuweka mizinga ya nyuki
Ukitaka kujua kuwa eneo unalotaka kuweka mizinga ya nyuki ni sahihi unatakiwa kuzingatia yafuatayo:. soma zaidi
PN.gif Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu
Wigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inaweza kutumika kama kizuizi cha wadudu kuhama hama.. soma zaidi
PN.gif Ugonjwa wa tetanasi au pepopunda unaoathiri sana punda na binadamu
Huu ni ugonjwa hatari sana kwa maisha ya binadamu. Kinyesi cha punda kinabeba vimelea vijulikanavyo kama clostindium tetanii vinavyosababisha ugonjwa wa tetanasi.. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea
MASHONANGUO.jpg

Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens
pilosa)
Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe.. soma zaidi

PN.gif Aina kuu ya mizinga bora ya nyuki kwa ajili ya kupata asali nyingi
Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na wengi. Gharama yake ni ndogo kiasi kulinganisha na mingine. Ni aina nzuri sana kwa mtu anaeanza ufugaji wa nyuki kwa kuwa ni wa gharama nafuu. Mfugaji wa nyuki anaweza kutengeneza mzinga Yya aina hii mwenyewe kama ana utaalamu wa useremala.. soma zaidi
PN.gif Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali
Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki.. soma zaidi