Karibu Ushauri wa Kilimo na Ufugaji, mahali unapoweza kusoma makala mpya kuhusu Kilimo na Ufugaji.

Kila unapotembelea ackyshine.com/kilimonaufugaji unahakikishiwa kupata Makala Mpya za Kilimo na Ufugaji.

Ni wewe tuu kutembelea kila saa unapotaka.

Enjoy….!

Makala Mchanganyiko za Ushauri wa Kilimo na Ufugaji

PN.gif Canibalism Kwa Kuku Au Tatizo La Kudonoanaβœ”
"Cannibalism,"
Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni moja ya athari ya lishe duni. Ni kisema lishe duni na maanisha chakula wanacho kula kukosa vurutubisho muhimu vya madini au kuku kutokula chakula cha kutosha.. soma zaidi
PN.gif Namna ya kutunza kuku na kuwakinga na magonjwaβœ”
1. Zingatia chanjo muhimu kwa kuku ili kuzuia magonjwa kama utakavyoshauriwa na mtaalamu wa mifugo.
Chanjo huanza katika wiki ya kwanza (mfano chanjo ya kuzuia sotoka) na inaweza kurudiwa baadaye.. soma zaidi
PN.gif Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifuβœ”
Wigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inaweza kutumika kama kizuizi cha wadudu kuhama hama.. soma zaidi
PN.gif Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kukuβœ”
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;. soma zaidi
PN.gif Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambaniβœ”
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo.
Sababu muhimu za kulima/kutifua udongo ni:
β€’ Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.
β€’ Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kwenye hewa.. soma zaidi
PN.gif Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwaβœ”
Ukaguzi wa Kila siku
β€’ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.
β€’ Ondoa kinyesi kwa kuku.
β€’ Waangalie kuku wako kwa makini ili kujua afya na maendeleo yao. Yaani ili kutambua kama kuna mwenye ugonjwa. soma zaidi
PN.gif Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kukuβœ”
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambaniβœ”
Mbangimwitu.jpg

Mbangi mwitu au kwa kisayansi ni African marigold / (Tagetes erecta) Unazuia Bakteria, fungusi na wadudu kama vile Siafu, bungo pamoja na aina nyingine za wadudu.. soma zaidi

PN.gif Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asaliβœ”
Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki.. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwaβœ”
1. Nyumba ya kuku iwe safi na kavu muda wote kuzuia ueneaji na kuzaliana kwa vijidudu vya magonjwa. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimeaβœ”
MASHONANGUO.jpg

Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens
pilosa)
Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe.. soma zaidi

PN.gif Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongoβœ”
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora.. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kumlisha n'gombe anayekamuliwa atoe maziwa mengiβœ”
Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika kipindi cha miezi 3-4 ya mwanzo baada ya kuzaa, wakati ambao uzalishaji wa maziwa unakuwa juu.. soma zaidi
PN.gif Unapotaka kunyunyiza mbolea ya maji shambani zingatia mambo haya ya muhimuβœ”
Ili upate matokeo mazuri wakati wa kunyunyiza mbolea ya maji unatakiwa kufuata vigezo vifuatavyo:
β€’ Inashauriwa kutumia mbolea iliyochanganywa vizuri ili kuepukana na kuunguza mimea.
β€’ Unatakiwa kutingisha vizuri mbolea yako ya maji kabla ya kunyunyiza. Chembechembe ndogo ambazo hazikuyeyuka zinaweza kuziba mdomo wa bomba la kunyunyizia.
β€’ Matokeo mazuri yanaweza kupatikana endapo mbolea imechanganywa vizuri na kunyunyiziwa wakati hakuna upepo.
β€’ Unatakiwa kunyunyizia mbolea wakati wa asubuhi au jioni wakati hakuna joto na upepo ukiwa umepungua.. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majaniβœ”
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye majani au shina ambapo ndipo chakula kinahitajika.. soma zaidi
PN.gif Mambo 8 ya kuzingatia kabla ya kuleta mifugo (kuku, ng'ombe,mbuzi n.k) wapya bandaniβœ”
Mambo hayo ni haya yafuatayo;
1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba,
2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea.. soma zaidi
PN.gif Mambo 5 ya muhimu kuzingatia kuhusu mahali unapotaka kuweka mizinga ya nyukiβœ”
Ukitaka kujua kuwa eneo unalotaka kuweka mizinga ya nyuki ni sahihi unatakiwa kuzingatia yafuatayo:. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpyaβœ”
Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;. soma zaidi
PN.gif Faida ya kupanda maharagwe katikati ya kabichiβœ”
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;. soma zaidi
PN.gif Mambo Ya Kuzingatia Kuongeza Utagaji Wa Kukuβœ”
Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina ya mbegu ya kuku yenye sifa ya kutaga mayai mengi kama haitapewa matunzo mazuri  basi sifa yake ya utagaji itapotea.
Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 - 27 (siku moja) kutengeneza yai. Hakuna njia ya kupunguza muda huu (yaani atengeneze mayai miwili katika siku moja). Hiyo ndio asili yake. Njia Nzuri ya kumfanya kuku atage muda mrefu ni kumfanya awe na furaha na afya.
Njia za kuwafanya kuku wawe na furaha na afya:. soma zaidi
PN.gif Aina kuu ya mizinga bora ya nyuki kwa ajili ya kupata asali nyingiβœ”
Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na wengi. Gharama yake ni ndogo kiasi kulinganisha na mingine. Ni aina nzuri sana kwa mtu anaeanza ufugaji wa nyuki kwa kuwa ni wa gharama nafuu. Mfugaji wa nyuki anaweza kutengeneza mzinga Yya aina hii mwenyewe kama ana utaalamu wa useremala.. soma zaidi
PN.gif Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambaniβœ”
Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;. soma zaidi

Makala Mpya

A Canibalism Kwa Kuku Au Tatizo La Kudonoanaβœ”
"Cannibalism,"
Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni moja ya athari ya lishe duni. Ni kisema lishe duni na maanisha chakula wanacho kula kukosa vurutubisho muhimu vya madini au kuku kutokula chakula cha kutosha.. soma zaidi
A Mambo Ya Kuzingatia Kuongeza Utagaji Wa Kukuβœ”
Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina ya mbegu ya kuku yenye sifa ya kutaga mayai mengi kama haitapewa matunzo mazuri  basi sifa yake ya utagaji itapotea.
Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 - 27 (siku moja) kutengeneza yai. Hakuna njia ya kupunguza muda huu (yaani atengeneze mayai miwili katika siku moja). Hiyo ndio asili yake. Njia Nzuri ya kumfanya kuku atage muda mrefu ni kumfanya awe na furaha na afya.
Njia za kuwafanya kuku wawe na furaha na afya:. soma zaidi
A Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimeaβœ”
MASHONANGUO.jpg

Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens
pilosa)
Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe.. soma zaidi

A Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambaniβœ”
Mbangimwitu.jpg

Mbangi mwitu au kwa kisayansi ni African marigold / (Tagetes erecta) Unazuia Bakteria, fungusi na wadudu kama vile Siafu, bungo pamoja na aina nyingine za wadudu.. soma zaidi

A Faida ya kupanda maharagwe katikati ya kabichiβœ”
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;. soma zaidi
A Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifuβœ”
Wigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inaweza kutumika kama kizuizi cha wadudu kuhama hama.. soma zaidi
A Mambo manne muhimu ya kuzingatia kukabiliana na wadudu shambaniβœ”
Ili Kabiliana na wadudu shambani unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;. soma zaidi
A Aina kuu ya mizinga bora ya nyuki kwa ajili ya kupata asali nyingiβœ”
Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na wengi. Gharama yake ni ndogo kiasi kulinganisha na mingine. Ni aina nzuri sana kwa mtu anaeanza ufugaji wa nyuki kwa kuwa ni wa gharama nafuu. Mfugaji wa nyuki anaweza kutengeneza mzinga Yya aina hii mwenyewe kama ana utaalamu wa useremala.. soma zaidi
A Mambo 5 ya muhimu kuzingatia kuhusu mahali unapotaka kuweka mizinga ya nyukiβœ”
Ukitaka kujua kuwa eneo unalotaka kuweka mizinga ya nyuki ni sahihi unatakiwa kuzingatia yafuatayo:. soma zaidi
A Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asaliβœ”
Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki.. soma zaidi
A Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongoβœ”
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora.. soma zaidi
A Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambaniβœ”
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo.
Sababu muhimu za kulima/kutifua udongo ni:
β€’ Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.
β€’ Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kwenye hewa.. soma zaidi
A Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majaniβœ”
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye majani au shina ambapo ndipo chakula kinahitajika.. soma zaidi
A Unapotaka kunyunyiza mbolea ya maji shambani zingatia mambo haya ya muhimuβœ”
Ili upate matokeo mazuri wakati wa kunyunyiza mbolea ya maji unatakiwa kufuata vigezo vifuatavyo:
β€’ Inashauriwa kutumia mbolea iliyochanganywa vizuri ili kuepukana na kuunguza mimea.
β€’ Unatakiwa kutingisha vizuri mbolea yako ya maji kabla ya kunyunyiza. Chembechembe ndogo ambazo hazikuyeyuka zinaweza kuziba mdomo wa bomba la kunyunyizia.
β€’ Matokeo mazuri yanaweza kupatikana endapo mbolea imechanganywa vizuri na kunyunyiziwa wakati hakuna upepo.
β€’ Unatakiwa kunyunyizia mbolea wakati wa asubuhi au jioni wakati hakuna joto na upepo ukiwa umepungua.. soma zaidi
A Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kukuβœ”
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;. soma zaidi
A Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kukuβœ”
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.. soma zaidi
A Namna ya kulisha kuku ili wasipatwe na magonjwaβœ”
Safisha vyombo vya kulishia na kunyweshea kila siku. Osha, sugua vizuri, kisha suuza kuondoa utando unaobeba bakteria.. soma zaidi
A Namna ya kutunza kuku na kuwakinga na magonjwaβœ”
1. Zingatia chanjo muhimu kwa kuku ili kuzuia magonjwa kama utakavyoshauriwa na mtaalamu wa mifugo.
Chanjo huanza katika wiki ya kwanza (mfano chanjo ya kuzuia sotoka) na inaweza kurudiwa baadaye.. soma zaidi
A Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwaβœ”