Blog Kwa Wakatoliki

Tumsifu Yesu Kristu msomaji wangu mpendwa!
Karibu kwenye Blog yangu (Ackyshine Mkatoliki)
Melkisedeck%20Leon%20Shine
Melkisedeck Leon Shine
Jina langu ni Melkisedeck Shine kutoka Kilimanjaro Tanzania. Karibu kwenye blog yangu ya Kikatoliki ambapo naandika makala, sala, nyimbo, picha, tafakari na mafundisho ya kikatoliki. Kwa maswali, maoni, mapendekezo au ushauri WASILIANA NA MIMI HAPA>>>
Ackyshine Mkatoliki ilianzishwa rasmi tarehe 10 Mar 2015 20:21, kwa sasa ina 10 Mar 2015 20:21 Asante kwa kuungana na mimi kwa kipindi chote hiki ambapo uliweza kusoma makala/posti mbalimbali nilizoandika kwenye blog hii.
utukufu.jpg
Tuzidi kuwa pamoja kwa wakati ujao ili tuweze kubadilishana mawazo, kujifunza, kukumbushiana, kusali na kutafakari pamoja posti zijazo. Bado kuna posti nyingi zinazosubiri kupostiwa hapa, endelea kutembelea blog hii ili usipitwe na posti hizo.

Mpangilio wa posti

holy_trinity.jpg
Posti ya mwisho imetolewa leo tarehe 07 Dec 2016 05:29. 07 Dec 2016 05:29. Karibu kila siku kusoma posti na makala mpya za Kikatoliki kuanzia sala, Tafakari pamoja na makala za Miujiza na matokeo ya Mungu na Watakatifu. Bila kusahau posti za mada na mijadala. Kila siku unahakikishiwa kupata makala mpya za kusoma

Posti Mpya kwa sasa