Mafundisho ya Dini

πŸ‘‰Katika amri ya pili ya Mungu tumekatazwa nini?

Katika amri ya pili ya Mungu tunakatazwa kuapa bure kwa Jina la Mungu

πŸ‘‰Kiapo cha uongo ni nini?

Ni kuahidi kwa kiapo bila nia ya kutimiza au kuvunja ahadi iliyotelewa.

.

.

Makala

Mafundisho

.

Sala

.

.

images-18.jpeg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Upendo na chuki havitangamani. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!