Mafundisho ya Dini

πŸ‘‰Amri ya Kumi ya Mungu inakataza nini?

Inakataza;

1. Uroho

2. Uchu wa mali

3. Kijicho

4. Tamaa mbaya ya kujipatia mali

πŸ‘‰Amri ya Kumi ya Mungu inaamuru nini

Amri ya Kumi ya Mungu inaamuru kuheshimu mali ya wengine na kumpenda Mungu kupita vitu vyote. (Mk 28:30).

.

.

Makala

Mafundisho

.

Sala

.

.

IMG_20180109_191904.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Uwe na subira Baada ya kuomba. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!