p.gif Faida ya kupanga taratibu za ibada ni ipi?

p.gif Wazazi na wakubwa wameamriwa nini?

p.gif Yesu kuwa Mwana pekee wa Mungu maana yake nini?

p.gif Sala ni nini?

p.gif Je, ni muhimu tujiandae kufa?

p.gif Ni nani wenye uwezo wa kutoa Sakramenti ya Daraja?

p.gif Tumekatazwa nini ili tulinde usafi wa moyo?

p.gif Mkristo Hupokea Sakramenti ya Kipaimara Mara ngapi?

p.gif Je, tunaweza kuambatana na Yesu tukilikataa Kanisa?

p.gif Nani ameumba vitu vyote?

p.gif Utawala wa Yesu umeanza hasa wapi?

p.gif Je, Umungu na utu wa Yesu vinachanganyikana?

p.gif Vitabu vya Hekima Katika Biblia ni Vipi?

p.gif Dhambi ya Mauti hutupotezea nini?

p.gif Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa sababu gani?

p.gif Nani ana lazima ya kufunga?

p.gif Je, tuishie katika kusadiki na kuadhimisha mafumbo?

p.gif Nani ni Mitume wa Mataifa?

p.gif Kwa nini Kanisa linabatiza watoto wadogo?

p.gif Biblia ina sehemu kuu ngapi?

p.gif Yesu alipokufa, ilikuwaje?

p.gif Vizuizi vya ndoa ni vipi?

p.gif Mkatoliki anaabuduje?

p.gif Zaka ni nini?

p.gif Mwenye kupokea Sakramenti ya kipaimara Yampasa nini?

p.gif Ina maana gani kupaka mafuta ya Krisma katika panda la uso wakati wa Kipaimara?

p.gif Kilele cha Liturujia ni nini?

p.gif Ni zipi sala Muhimu kwa Mkristo?

p.gif Mwenye kusikia mvuto wa kuingia Utawa afanyeje?

p.gif Kutubu dhambi maana yake ni nini?

p.gif Je, tuna ruhusa ya kuwaabudu Watakatifu?

p.gif Mazinguo ndiyo nini?

p.gif Majuto kamili ni nini?

p.gif Baada ya kumpokea Yesu wa Ekaristi tufanye nini?

p.gif Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kufanya nini?

p.gif Majilio ni nini?

p.gif Kwa Sakramenti ya Kitubio tunapata neema zipi?

p.gif Kwa nini tunatumia Visakramenti?

p.gif Askofu ana kazi gani katika Jimbo lake?

p.gif Ufufuko wa wafu maana yake nini?

p.gif Yesu Alianza kuhubiri injili kwa maneno gani?

p.gif Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano la Kale ni vipi?

p.gif Misa Takatifu ina sehemu kuu ngapi?

p.gif Kwa nini tujute dhambi zetu?

p.gif Katika hukumu zake dhamira ifuate nini?

p.gif Hasa Mungu amejifunua kuwa nani?

p.gif Ni nani ampaye padri Daraja la Uaskofu?

p.gif Dhamiri adilifu inatengenezwa na kusaidiwa na nini?

p.gif Baada ya kujua maisha ya Yesu tunapaswa kufanya nini?

p.gif Katika amri ya pili ya Mungu tumekatazwa nini?

p.gif Je, mafumbo yote saba yanazaa matunda yaleyale?

p.gif Kwa nini Mungu alituumba? Kwa nini Mungu aliumba mtu?

p.gif Mtu aweza kupokea Sakramenti ya ndoa zaidi ya mara moja?

p.gif Matendo yetu yasipomtukuza Mungu, maana yake nini?

p.gif Lini tunakatazwa kuwatii watu?

p.gif Mtu ni nani?

p.gif Kwaresma ni nini?

p.gif Kanisa linaitaje ibada hizo tulizoagizwa na Yesu?

p.gif Hosana maana yake ni nini?

p.gif Ni nini Msingi wa Imani na Mafundisho ya Kanisa Katoliki?

p.gif Twajenga na kutunza dhamira zetu namna gani?

p.gif Mungu ni mwenye huruma maana yake nini?

p.gif Rehema hutolewa na nani?

p.gif Padri anaondolea dhambi mahali pa nani?

p.gif Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo gani?

p.gif Kwa nini Mungu alitupa Amri kumi?

p.gif Je, Adamu na Eva walimtii Mungu?

p.gif Sakramenti ya ubatizo ni nini?

p.gif Nani ni shahidi wa kwanza katika Agano Jipya?

p.gif Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria?

p.gif Mahali gani panafaa kwa sala?

p.gif Tueleweje Maandiko Matakatifu?

p.gif Neema ya Msaada yapatikanaje?

p.gif Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?

p.gif Karama za kushangaza zina hatari gani?

p.gif Mungu alimwumbaje Eva (Hawa)?

p.gif Dhamiri adilifu ni nini?

p.gif Kati ya vitabu vya Biblia, vilivyo bora ni vipi?

p.gif Nani analazima kuhudhuria Misa Takatifu, Dominika na Sikukuu zilizoamriwa?

p.gif Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?

p.gif Wakubwa tunaopaswa kuwaheshimu ni kina nani?

p.gif Vizuizi vya ndoa ni kitu gani?

p.gif Je, ni vizuri kumsifu Maria?

p.gif Ni ipi sala kubwa ya Kanisa?

p.gif Masifu ni nini?

p.gif Sentesi saba za Yesu msalabani ni zipi?

p.gif Kanisa kuwa takatifu maana yake nini?

p.gif Malaika wakoje?

p.gif Biblia iliandikwa kwa kusudi gani?

p.gif Mkristo Mkatoliki awezaje kufunga ndoa mchanganyiko au utofauti wa dini kwa uhalali?

p.gif Yatupasa nini kwa wenye Daraja Takatifu?

p.gif Kisha kuumba Malaika Mungu aliumba nini?

p.gif Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni ipi?

p.gif Yesu aliweka sakramenti ngapi?

p.gif Wivu ni nini?

p.gif Je, hisi zetu zote zinaweza kutumika kuadhimishia mafumbo?

p.gif Mpako wa Wagonjwa ulianzishwa na nani?

p.gif Watoto wawili wa Adamu na Eva walkikuwa wepi?

p.gif Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake nini?

p.gif Akili ni nini?

.

page 1 of 16288123...1628716288next »

.

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>
IMG_20180108_171540.jpg

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine,

Tafakari leo kwa kusoma Biblia kitabu cha Luka 6:20-49. Huu ndio msingi wa Mkristo, maana ya kuwa Mkristo na tofauti ya Mkristo na asiyemkristo.

Mungu Akubariki sana…. Tuzidi Kuombeana na kujitahidi kuishi kama alivyotufundisha Yesu Kristo Ili tuweze kumfikia yeye.