Zifahamu dhambi ambazo huondolewa na PAPA pekee au Padre kwa ruhusa maalumu kutoka kwa Baba Mtakatifu

Tumsifu Yesu Kristu…

Karibu tena katika Website yako uipendayo ya Wakatoliki yenye mambo mengi kuhusu Imani na Mafundisho ya Kikatoliki. Kama una wasiwasi kuhusu Imani ya Kanisa Katoliki nimekuandalia makala maalumu ya kukufunulia Ukweli hapa>>.

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandikia makala nzuri inayopendwa kuhusu; MTAKATIFU VICENT WA RELENI, kwa sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Zifahamu dhambi ambazo huondolewa na PAPA pekee au Padre kwa ruhusa maalumu kutoka kwa Baba Mtakatifu.

Unaweza pia kupokea makala zote mpya zinazopostiwa hapa kwenye email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo.

Endelea kuelimika na kubarikiwa kila siku unapotembelea tovuti hii.

Zifahamu dhambi ambazo huondolewa na PAPA pekee au Padre kwa ruhusa maalumu kutoka kwa Baba Mtakatifu

By, Melkisedeck Shine.

ZIFAHAMU DHAMBI AMBAZO HUONDOLEWA NA PAPA PEKEE AU PADRE KWA MAMLAKA MAALUMU KUTOKA KWA PAPA :

1.Kumdhuru baba mtakatifu kimwili mfano:kumpiga au kumtemea mate

2.Kukufuru Ekaristi Takatifu mfano kutema na kuchezea kwa namna yoyote kama ya kishirikina.

3.Padri kutenda dhambi na muumini mfano : kuzini

4.Askofu kumpa padre uaskofu padre yeyote bila ruhusa ya baba mtakatifu.

NB:jiandae kufanya kitubio kama unaguswa na dhambi yoyote kati ya hizo kwani kuna mchakato maalumu wa kuteuliwa kwa mapadre zaidi ya 800 na baba mtakatifu kwenda dunia zima kwa kuwaondolea watu wenye dhambi hizo. Tumsifu Yesu Kristu πŸ™πŸΏ

Kuhusu dhambi namba 3 inakosa tu maelezo.Na maelezo yake ni haya;
Padre kuzini na muumini hiyo inabaki kuwa ni dhambi Kati ya Padre na muumini wake.Kwa dhambi hiyo Padre anaweza akatafuta Padre mwenzake akaungama kadhalika na kwa muumini huyo.
Shida ni pale tu endapo,Padre anataka KUMUUNGAMISHA mwanamke (muumini) aliyetoka KUZINI naye au yule ANAYEZINI naye hiyo dhambi na kosa hilo hata Askofu wako hana mamlaka ya kukuungamisha wala kukusamehe ni kiti cha Baba Mtakatifu pekee chini ya Congregatio inayoshughulikia mambo matakatifu iitwayo kwa kifupi CDF yaani Congregation for Doctrine of Faith.
Ambayo inashughulikia na mambo mawili hasa makuu yaani;
1.Protection of Sanctity of Sacraments
2.Dealing with Grave Disorders and bad conducts in the Church.
Kwa ufupi ndio hivyo ninaweza kukwambia.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Zifahamu dhambi ambazo huondolewa na PAPA pekee au Padre kwa ruhusa maalumu kutoka kwa Baba Mtakatifu. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Zifahamu dhambi ambazo huondolewa na PAPA pekee au Padre kwa ruhusa maalumu kutoka kwa Baba Mtakatifu, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

β€’ Hadithi: Mkasa wa kusisimua, Jifunze kitu hapa, isome hapa

β€’ Mtume aliyechaguliwa na Mitume badala ya Yuda iskarioti, isome hapa

β€’ Kila kitu ni mali ya Mungu isipokua hiki, isome hapa

β€’ Mashahidi na Wafiadini wa Uganda, isome hapa

β€’ DOMINIKA YA UTATU MTAKATIFU, isome hapa

β€’ MTAKATIFU VICENT WA RELENI, isome hapa

β€’ Je, Kuangalia Picha za Ngono ni dhambi?, isome hapa

β€’ IBADA YA HURUMA KUU YA MUNGU, isome hapa

β€’ Huruma ya Mungu inazidi hasira yake, isome hapa

β€’ Masomo ya leo Kanisani, isome hapa

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Mungu ni mwenye haki, mpenda haki na mtenda haki. Unapoenenda kwa haki na yeye ataipigania haki yako."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Zifahamu dhambi ambazo huondolewa na PAPA pekee au Padre kwa ruhusa maalumu kutoka kwa Baba Mtakatifu, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Mtazameni Mkombozi
[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Moyo safi wa Mama Maria
Mtakatifu-Katarina-wa-Siena.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Katarina wa Siena.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Katarina wa Siena hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20180125_210100.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Upendo wa Mungu hauna mwisho. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!