YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog kwa Wakatoliki

Mpangilio wa kurasa Kwa Wakatoliki ndani ya AckySHINE

|| HOME || MAKALA || TAFAKARI || SALA || MAFUNDISHO || MIUJIZA || WATAKATIFU || NYIMBO || PICHA ||

.

๐Ÿ‘‰ Utaratibu wa Mkristo Mkatoliki Kanisaniโœ…

images-21.jpeg
Melkisedeck Leon Shine

๐Ÿ’ฅSala sio kitu cha muhimu kufanya wakati wa shida tuu. Sala ni kitu cha muhimu zaidi kila siku katika Maisha kuwe na shida au kusiwe na shida.๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ‘Baada ya kusoma kuhusu;๐Ÿ‘‡

images-24.jpeg

๐Ÿ’ฅLeo nimekutayarishia makala๐Ÿ“œ kuhusu Utaratibu wa Mkristo Mkatoliki Kanisani.๐Ÿ‘‡

๐Ÿ’ซUtaratibu wa Mkristo Mkatoliki Kanisani๐Ÿ‘‡

UTARATIBU WA MKRISTO MKATOLIKI KANISANI.

Ninapoingia kanisani nachovya maji ya baraka na kusema;

"Unitakase Ee Bwana mimi na uovu wangu wote, ili nipate kustahili kushiriki ibada takatifu' Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu" Amina!

Ninapiga goti huku nikisema
"Mungu wangu na Bwana wangu"

๐Ÿ™‹๐ŸฝNikiinuka nasema

"Nitakusifu na kukuabudu katika Ekaristi takatifu"

๐Ÿ™‹๐ŸฝNaenda mpaka kwenye bench, napiga magoti au nakaa nikiwa mimeinamisha kichwa (kama mabenchi yameisha nabaki nimejisimamia) huku nikitoa nia yangu ya kusali misa siku hiyo, mfano

"Ee Mungu, ninaungana nawe na jeshi lote la mbinguni, pamoja na Mama Bikira Maria, nikiwa na nia ya kumwombea mama yangu ambaye ni mgonjwa, jirani yangu ambaye mpaka sasa hatuelewani na pia familia yetu ambayo haina amani, Mungu kupitia misa hii rejesha hali ya mama yangu, rejesha uelewano na jirani yangu, na pia rejesha amani ya familia yetu pamoja na familia zote ambazo hazina amani"

๐Ÿ™‹๐ŸฝNinaendelea na misa na Kushiriki litrujia kikamilifu

๐Ÿ™‹๐ŸฝWakati wa komunyo nikikumbuka kuwa nina dhambi kubwa huwa nakominika kwa sala ya tamaa wala siendi mbele, huwa najikalia tu kwenye bench naangalia wenye moyo safi wanaenda mbele kumpokea Yesu (Kweli huwa najisikia wivu sana, itanibidi katikati ya wiki nifanye kitubio ili nisikae tena)"

๐Ÿ™‹๐ŸฝMwisho wakati wa kuondoka nachovya maji ya baraka nikisema

"Unilinde Ee Mwenyezi Mungu, nikapate kuwa mfano katika jamii yangu, na nikushuhudie katika matendo yangu"
(Hapo nachovya maji ya baraka na kufanya ishara ya msalaba) "Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, amina"

Usiku mwema wapendwa. Malaika awalinde

Sasa ๐Ÿ‘‰Endelea kusoma kuhusu ๐Ÿ‘Mitego ya Shetani katika maungamo๐ŸŒ 

๐Ÿ’ฅTafakari kuhusu;T.gif Mambo muhimu katika sala๐Ÿ”ฅ
Tujikumbushe mafundisho ya Kanisa MF.gif kuhusu; ๐Ÿ‘‰Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?๐Ÿ“„
Barikiwa na wimbo huu waPA.gif ๐Ÿ’จPasipo Makosa๐ŸŽน๐ŸŽถ
images-23.jpeg

Nitumie Maoni yako Kuhusu Utaratibu wa Mkristo Mkatoliki Kanisani hapa

Jina
Dini/dhehebu
Mfano Mwislamu, Katoliki, Lutherani, Mlokole n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako


IMG_20170703_130425.jpg
๐Ÿ™‰Usisahau kushare posti hii Kuhusu ๐Ÿ‘‰Utaratibu wa Mkristo Mkatoliki Kanisani, Shareโœ” Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp n.k..๐Ÿ’ฏโœ…

๐Ÿ“š Endelea kusoma kuhusu;-๐Ÿ‘‡

.

IMG_20170703_130508.jpg

"Kila jambo lina Mkono wa Mungu juu yake hata kama limefanyika bila kupangwa au kukusudiwa. Mbele ya Mungu hakuna kitu kinachofanyika kwa Ajali au bahati mbaya."

.

d.gifKichekesho%20Kipya Nimekuzawadia Sala za Asubuhi na Sala za Jioni AR.gif PDF hii ina mkusanyiko wa sala za kusali asubuhi na za jioni kabla ya kulala.๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

d.gifKichekesho%20Kipya Nimekuzawadia ROZARI YA MAMA BIKIRA MARIA AR.gif PDF hii ina mwongozo wa namna ya kusali Rozari Takatifu ya Mama Bikira Maria๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

d.gifKichekesho%20Kipya Nimekuzawadia Biblia Takatifu: Agano Jipya AR.gif PDF hii ina vitabu vyote vya Agano Jipya๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

d.gifKichekesho%20Kipya Nimekuzawadia Sala za Asubuhi na Sala za Jioni AR.gif PDF hii ina mkusanyiko wa sala za kusali asubuhi na za jioni kabla ya kulala.๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Sala๐Ÿ‘‡

SA.gif

.

SHINE-MWENYEWE.jpg

"Uzuri wa Mungu ni kwamba anasamehe na kisha anasahau. Unapotubu dhambi zako na kutaka huruma zake yeye anakufutia uovu wote na kukufanya mpya."

.

images-22.jpeg

Tumsifu Yesu Kristu…. Sala sio maneno mengi au maneno ya kurudiarudia. Sala ni maneno au hata neno moja la kimapendo litamkwalo kwa imani na kwa nia thabiti.
Na Melkisedeck Shine

Jina langu ni Melkisedeck L. Shine. Mimi ni Mkristu Mkatoliki

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa
Jina
Dini/dhehebu
Mfano Mwislamu, Katoliki, Lutherani, Mlokole n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

ABOUT ME | MY PERSONAL BLOG

.