Maswali na majibu kuhusu Mungu

Tumsifu Yesu Kristu…

Karibu tena katika Website yako uipendayo ya Wakatoliki yenye mambo mengi kuhusu Imani na Mafundisho ya Kikatoliki. Kama una wasiwasi kuhusu Imani ya Kanisa Katoliki nimekuandalia makala maalumu ya kukufunulia Ukweli hapa>>.

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandikia makala nzuri inayopendwa kuhusu; Mambo yanayorudisha kwaya Katoliki nyuma, kwa sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Maswali na majibu kuhusu Mungu.

Unaweza pia kupokea makala zote mpya zinazopostiwa hapa kwenye email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo.

Endelea kuelimika na kubarikiwa kila siku unapotembelea tovuti hii.

Maswali na majibu kuhusu Mungu

By, Melkisedeck Shine.

Kujua kuhusu Mungu, soma maswali haya;

a.gifJe, Yatupasa kumtolea Mungu shukrani?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifNani ameumba vitu vyote?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni nani?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni Muumba vyote maana yake ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni Roho maana yake ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni mweza wa yote maana yake ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni wa Milele maana yake ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni mwema maana yake ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni Mwenye haki maana yake ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu aenea pote maaana yake ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ajua yote maana yake nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni mwenye huruma maana yake nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ni mwenye subira maana yake ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu wako wangapi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifKatika Mungu mmoja kuna nafsi ngapi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifNeno hili kuwa nafsi tatu kwa Mungu mmoja laitwaje?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifKwa ajili gani Mwana wa Mungu (Yesu) alijifanya mtu?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifNafasi ya Heshima kwa Bikira Maria ni ipi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifTunaanzaje kumjua Mungu?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, tunaweza kusema juu ya Mungu?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMwenyezi Mungu yukoje basi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu akiwa Roho, viungo ambavyo pengine anapewa vina maana gani?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, Mungu amewasiliana nasi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifHasa Mungu amejifunua kuwa nani?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, Mungu amejitambulisha pia kwa jina?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu ametufunulia nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu akiwa wema mkuu na mwenye uwezo wote, mbona katika viumbe vyake kuna ubaya? Kwa nini Mungu anaruhusu mabaya na maovu?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu aliwahi kujifunua kwa watu gani?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, ufunuo wa Mungu unaendelea hata leo?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifUfunuo wa Mungu unatufikiaje miaka elfu mbili baada ya Kristo?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, Mungu amegawanyika sehemu tatu?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifTumejuaje kuwa Mungu ni Umoja wa nafsi tatu?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifUmoja wa Mungu unategemea nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, nafsi tatu za Mungu zina Umoja hata katika utendaji?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMungu angeweza kuzuia watu wasitende dhambi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifYesu ni Mungu au mtu?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, Umungu na utu wa Yesu vinachanganyikana?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, Mwana wa Mungu tangu atwae mwili ni mtu kamili mwenye akili na utashi wa kibinadamu?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifKwa nini Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu”?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifKwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, Mungu Baba alihusika na sadaka ya Mwanae?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifRoho Mtakatifu ni nani?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, tumuadhimishe Mungu katika Nafsi zake tatu pia?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifHamu kuu ya binadamu ni ipi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?,πŸ‘‰soma jibu...


Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Maswali na majibu kuhusu Mungu. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Upendo wa Mungu hauna mwisho. Mtu anaweza akaacha kukupenda na kukusahau kabisa lakini kamwe Mungu haachi kumpenda Mtu wala hamsahau Mtu."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Mafundisho ya dini kuhusu Binadamu na Ubinadamu
Kuhusu ubinadamu na Binadamu haya ndiyo maswali ya muongozo;.. soma zaidi
a.gif Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa
Maswali na majibu kuhusu Sakramenti ya Mpako Mtakatifu;.. soma zaidi
a.gif Maswali na majibu kuhusu Mitume
Maswali kuhusu mitume ni;.. soma zaidi
a.gif Maswali na majibu kuhusu Misa Takatifu ya Kanisa Katoliki
Maswali ya kujiuliza kuhusu Misa Takatifu;.. soma zaidi
a.gif Umakini katika kuwaza
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni… soma zaidi
a.gif Maswali na majibu kuhusu Visakramenti
Haya ndiyo mambo yanayoulizwa sana kuhusu visakramenti.. soma zaidi
a.gif Abramu na Loti Watengana
1 Abramu akapanda kutoka Misri, yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, mpaka kusini… soma zaidi
a.gif Nifunge nini Kwaresma? Mambo ya kufunga kipindi cha Kwaresima
NIFUNGE NINI?
Funga huzuni upate furaha,
Funga ulabu upate siha,
Funga majivuno upata utukufu,
Funga uzinzi upate wongofu,
Funga kisirani upate utakatifu,.. soma zaidi
a.gif Mafundisho (Dogma) ya Kanisa Katoliki kuhusu Bikira Maria

Kuna mafundisho makuu manne kumhusu Bikira Maria ambayo ni lazima kila Mkatoliki ayasadiki kutokana na ufunuo wa Mungu: 1. B. Maria mkingiwa dhambi ya asili 2. B. Maria Mama wa Mungu 3. B. Maria Bikira daima 4. B. Maria kupalizwa mbinguni mwili na roho.. soma zaidi


a.gif Kisa cha Noa na Wanawe
18 Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani… soma zaidi
a.gif Nyimbo za Mama Bikira Maria
Zifuatazo ni nyimbo nzuri za Bikira Maria.. soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Maswali na majibu kuhusu Mungu, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

β€’ Mungu ni Mkubwa kiasi gani, isome hapa

β€’ Litania ya Huruma ya Mungu, isome hapa

β€’ X-mass inavyohusishwa na mpinga Kristo, isome hapa

β€’ Mafundisho ya dini kuhusu Binadamu na Ubinadamu, isome hapa

β€’ Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa, isome hapa

β€’ Maswali na majibu kuhusu Mitume, isome hapa

β€’ Maswali na majibu kuhusu Misa Takatifu ya Kanisa Katoliki, isome hapa

β€’ Maswali na majibu kuhusu kifo, isome hapa

β€’ Mafundisho kuhusu Hukumu ya Mwisho, isome hapa

β€’ Mafundisho ya dini kuhusu Marehemu, isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Maswali na majibu kuhusu Mungu, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Pasipo Makosa
[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Ee Maria Mwema Utuombee
Mtakatifu-Margareta-Maria-Alacoque.png

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Margareta Maria Alacoque.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Margareta Maria Alacoque hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

images-22.jpeg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Mungu ni mwema hata tunapokua wadhambi. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!