Mambo muhimu kujua kuhusu Ubatizo

Tumsifu Yesu Kristu…

Karibu tena katika Website yako uipendayo ya Wakatoliki yenye mambo mengi kuhusu Imani na Mafundisho ya Kikatoliki. Kama una wasiwasi kuhusu Imani ya Kanisa Katoliki nimekuandalia makala maalumu ya kukufunulia Ukweli hapa>>.

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandikia makala nzuri inayopendwa kuhusu; Maswali na majibu kuhusu dhambi, kwa sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mambo muhimu kujua kuhusu Ubatizo.

Unaweza pia kupokea makala zote mpya zinazopostiwa hapa kwenye email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo.

Endelea kuelimika na kubarikiwa kila siku unapotembelea tovuti hii.

Mambo muhimu kujua kuhusu Ubatizo

By, Melkisedeck Shine.

a.gifKwa nini ubatizo unafanyika kwa maji?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifUbatizo unatolewa pia kwa maji machache tangu lini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, ubatizo uliotolewa na Yohane Mbatizaji ulikuwa sakramenti?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifTofauti kubwa kati ya ubatizo wa Yohane na ule wa Yesu ni zipi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, watoto wachanga wanaweza kubatizwa?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMbona watoto wachanga hawawezi kuelewa kinachofanyika wakati wa ubatizo halafu wanabatizwa?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, watu wazima wanaweza kuelewa sakramenti kwa dhati?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, imani ya watu wazima inaweza kufaidisha watoto?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifUbatizo wa watoto wachanga unafanyika tangu lini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, ubatizo tuu unatosha?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifSakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni ipi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifSakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifSakramenti ya ubatizo ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifUbatizo ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifSakramenti ya Ubatizo yatuletea nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifKuna Ubatizo wa namna ngapi?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifNani aweza kubatiza?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifKwa nini Kanisa linabatiza watoto wadogo?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifJe, Ubatizo ni lazima kwa wokovu?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifAnayebatizwa yampasa nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifAlama wazi ya Sakramenti ya Ubatizo ni nini?,πŸ‘‰soma jibu...


a.gifMsimamizi wa ubatizo ana wajibu gani?,πŸ‘‰soma jibu...


Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mambo muhimu kujua kuhusu Ubatizo. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Mambo muhimu kujua kuhusu Ubatizo, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

β€’ Mafundisho na mapokeo Katika Kanisa Katoliki yanapopatikana kwenye Biblia, isome hapa

β€’ Jifunze kitu kupitia mkasa huu wa kusisimua, isome hapa

β€’ Kifungu cha Biblia kinachothibitisha kua Bikira Maria Mama wa Yesu ni Mama wa Wakristu Wote, isome hapa

β€’ Maswali na majibu kuhusu Toharani, isome hapa

β€’ Maana ya sanamu ndani ya Kanisa Katoliki, isome hapa

β€’ Mambo ya msingi kujua kuhusu sala, isome hapa

β€’ Maswali na majibu kuhusu Roho Mtakatifu, isome hapa

β€’ Maswali na majibu kuhusu Neema na Rehema, isome hapa

β€’ Maswali na majibu Kuhusu Ndoa, isome hapa

β€’ Maswali na majibu kuhusu Mungu, isome hapa

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Kwa njia ya sala Binadamu anampa Mungu Utukufu, Mungu anampa Binadamu Wokovu na Neema."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mambo muhimu kujua kuhusu Ubatizo, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Maombezi yako Maria
Mtakatifu-Teresa-wa-Mtoto-Yesu-wa-Lisieux.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Teresa (Teresia) wa Mtoto Yesu (wa Lisieux).
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Teresa (Teresia) wa Mtoto Yesu (wa Lisieux) hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20181021_134131.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Upendo wa KiMungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!