Kanuni ya Mungu kuhusu mema

Tumsifu Yesu Kristu…

Karibu tena katika Website yako uipendayo ya Wakatoliki yenye mambo mengi kuhusu Imani na Mafundisho ya Kikatoliki. Kama una wasiwasi kuhusu Imani ya Kanisa Katoliki nimekuandalia makala maalumu ya kukufunulia Ukweli hapa>>.

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandikia makala nzuri inayopendwa kuhusu; Mafundisho ya dini kuhusu Marehemu, kwa sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Kanuni ya Mungu kuhusu mema.

Unaweza pia kupokea makala zote mpya zinazopostiwa hapa kwenye email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo.

Endelea kuelimika na kubarikiwa kila siku unapotembelea tovuti hii.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Je, Biblia zote ni sawa?

Kanuni ya Mungu kuhusu mema

By, Melkisedeck Shine.

Unapoona mtu, jambo, kitu ni chema na kinakupendeza, Mungu naye anakifanya chema. Kwa maana anapenda kile tunachokipenda kama tuu hakina mawaa.

Mfano. Mungu anakubali mtu unayetaka kufunga nae ndoa kama unampenda na unaona ni sawa

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Kanuni ya Mungu kuhusu mema. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Kanuni ya Mungu kuhusu mema, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

β€’ Kanisa Katoliki linavyofundisha kuhusu Yesu, isome hapa

β€’ Mtakatifu Brigita wa Sweeden, isome hapa

β€’ Mtakatifu Anna, isome hapa

β€’ BIBLIA, isome hapa

β€’ Zaburi ya Toba, Zaburi ya 51, isome hapa

β€’ Jumamosi ya kwanza ya mwezi, isome hapa

β€’ MPANGILIO WA KURASA ZA POSTI NA MAKALA, isome hapa

β€’ Mtume Filipo, isome hapa

β€’ Mtume Yohane, isome hapa

β€’ Yakobo Mkubwa, isome hapa

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Hakuna kitu cha Muhimu zaidi Duniani kama kumjua Mungu na kumuishi Mungu. Kila binadamu ameumbwa kwa ajili hii. Na Mungu anachotaka ndicho hichi, kumjua na kumuishi. Mengine yote ni maziada. Ukimuishi Mungu atakufanikisha katika yote."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Kanuni ya Mungu kuhusu mema, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Bikira Maria Uliyekingiwa
[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Zaeni matunda mema
Mtakatifu-Anna.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Anna.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Anna hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

MELKISEDECK-SHINE.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Sifa za Sala yeyote. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!