.

๐Ÿ‘‰ Heshima za Liturujia ya Kiroma kwa Mariaโœ…

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 24 Mar 2015 05:40. [Legal & Authority]

Kuna ibada za Mama Bikira Maria zinazoadhimishwa katika liturujia ya Kiroma. Hapa zimepangwa kulingana na heshima zinavyozidiana:

Sherehe[hariri | hariri chanzo]
8 Desemba โ€“ Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili 1 Januari โ€“ Bikira Maria Mama wa Mungu 25 Machi โ€“ Bikira Maria Kupashwa Habari 15 Agosti โ€“ Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni

Sikukuu

31 Mei โ€“ Maamkio ya Bikira Maria 8 Septemba โ€“ Kuzaliwa kwa Bikira Maria

Kumbukumbu

Juni โ€“ Moyo Safi wa Maria 15 Septemba โ€“ Mama Yetu wa Huzuni 22 Agosti โ€“ Bikira Maria Malkia 7 Oktoba โ€“ Bikira Maria wa Rozari 21 Novemba โ€“ Bikira Maria Kutolewa Hekaluni

Kumbukumbu za Hiari

11 Februari โ€“ Bikira Maria wa Lurdi 13 Mei โ€“ Bikira Maria wa Fatima 16 Julai โ€“ Bikira Maria wa Mlima Karmeli 5 Agosti โ€“ Kutabaruku Kanisa la Bikira Maria 12 Septemba โ€“ Jina takatifu la Maria 12 Desemba โ€“ Bikira Maria wa Guadalupe

Tena kila Jumamosi isiyo na adhimisho maalumu, Kanisa huadhimisha kumbukumbu ya Mama wa Mungu.

Pia zipo heshima za binafsi kwa Bikira Maria: mashariki zinatumika tenzi na nyimbo mbalimbali, k.mf. Akatistos inayomuita โ€œdaraja linalounganisha dunia na mbinguโ€, โ€œngazi aliyoiona Yakoboโ€ โ€œkina kisichochunguzika kwa macho ya malaikaโ€ (Mwa 28:12); magharibi]] anaheshimiwa kwa rozari.

Wakristo wanaomheshimu Bikira Maria hawamuabudu hata kidogo, lakini wanamtolea heshima ya juu kuliko watakatifu wengine. Tofauti ni kwamba Mungu tu anastahili kuabudiwa (kwa Kigiriki, โ€˜latriaโ€™) watakatifu wanapewa heshima (โ€˜duliaโ€™) na Bikira Maria heshima zaidi (โ€˜yuper-duliaโ€™). Kanisa Katoliki linakiri neema zote za Mungu zinampitia Maria.

rafiki.gif

๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰Usisahau kushare video hii.๐Ÿ‘ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!๐Ÿ’ฏโœ”

๐Ÿ“š Endelea kusoma kuhusu;-๐Ÿ‘‡

Kichekesho%20KipyaJinsi ya kutafuta ndugu zako mliopotezana Unaweza kuwatafuta kirahisi sana๐Ÿ‘‰soma zaidiKizuri

Kichekesho%20KipyaMarafiki zako wa enzi ukiwa mdogo wanakutafuta hapa Wanataka mkumbukie furaha na raha za utotoni๐Ÿ‘‰soma zaidiKizuri